jamani wakati huo nilikuwa bado chuo hata sijamjua msukuma kabisa, hahaha usimtendee dhambi msukuma wangu, lol...DC mi nimeolewa na 22 yrs, tena hapo bado nipo chuo, msukuma nimemjua nikiwa nakaribia kuingiza 21yrs, so alichukua mwaka tu akachukua jumla.
da!umenizidi siku 9 tu i see!
ahahahahhahhahaha haya bwana babu Dark CityDuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,
Sikujua kama na wewe snowhite bado unadai kiasi hicho...enzi zetu hapo mzee mzima angekuwa anasubiria trip zaidi ya 6 hivi za kwenda labour room kupiga mayowe!!
Halafu kuanzia leo ukisikia harufu ya Babu DC....hapo hapo piga magoti na kukata shikamoo kwa herufi kubwa!!
Babu DC!!
ahahhahahhahhahahahhaahhah babu basi utafunga wengi i see!wengine ndo kabisa sera ya KILIMO KWANZA tulianza kuitekeleza tukiwa na miaka 17Haya bwana Nyamayao...ila kwa maelezo yako...kuna mtu ana kesi ya kujibu...
Hebu basi tusogezee huyo aliyesababisha matatizo at 30-11 (19) ili tuhangaike naye....It was too early kupigwa chini juu pakavimba at that age....!!!
Halafu haya mambo ndiyo kila siku nawashauri wajukuu zangu....Eti binti anakimbilia kuolewa before 25???
Sifagilii hata kidogo...Inabidi kwanza amalizane na kidalipo kabla ya kuanza mikasheshe ya mawifi na gubu la mama mkwe!!
Hongera sana lakini kama umekomaa ingawa wengine tunaona kuwa wewe bado nii kigori.....at 30yrs wenzio bado wana dreams za ajabu ajabu na wanajenga maghorofa yenye floor zaidi ya 100!!!
Babu DC!!
Basi tushukuru kwa siku hii kukuleta... Inabidi nitume copy kwa waweza sherehe kuja ungana katika sherehe...
cc to;
sweetlady, King'asti, gfsonwin, Kaizer, MwanajamiiOne, The Boss, Mentor, Dena Amsi, Judgement, Madame B, RR , TIMING, Chauro, Mtambuzi, Young Master, Mamndenyi, Kongosho, Michelle, Lizzy, Mwali, Kaunga, Dark City, Zion Daughter, Ndahani, Kimey, Blaki Womani, PakaJimmy...
Kwa sasa hao wanatosha na tutaomba waite wenzao... Lol.
Kuwa na siku njema mamie... Pamoja saana.
Basi tushukuru kwa siku hii kukuleta... Inabidi nitume copy kwa waweza sherehe kuja ungana katika sherehe...
cc to;
sweetlady, King'asti, gfsonwin, Kaizer, MwanajamiiOne, The Boss, Mentor, Dena Amsi, Judgement, Madame B, RR , TIMING, Chauro, Mtambuzi, Young Master, Mamndenyi, Kongosho, Michelle, Lizzy, Mwali, Kaunga, Dark City, Zion Daughter, Ndahani, Kimey, Blaki Womani, PakaJimmy...
Kwa sasa hao wanatosha na tutaomba waite wenzao... Lol.
Kuwa na siku njema mamie... Pamoja saana.
ahahhahahhahhahahahhaahhah babu basi utafunga wengi i see!wengine ndo kabisa sera ya KILIMO KWANZA tulianza kuitekeleza tukiwa na miaka 17
lol!
af kuolewa na miaka 22 !jamani!
Happy Birthday My Dada Mnoko! Mungu akubariki ufike japo miaka 25 na wewe uolewe ujue tamu ya ndoa.....happy birthday to nyamayao, namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima/afya tele mpaka leo hii nagonga miaka kadhaa chini ya hili jua, ups and downs kibao lakini amenipa ujasiri wa kupambana, akiniinua pale nilipojikwakaa na kuanguka na kunipa nguvu za kusonga mbele kwa ujasiri zaidi, my family, musukuma/kids, my lovely mama/sis, na wana JF wote, nawapenda sana sana!...happy birthday to nyamayao jamani....
Eboh! kumbe bado mtoto hivi? Ushavunja ungo? Siku nyingine uwe unaniamkia kabla hujaquote posts zangu. Malabuku!!jamani hiyo keki wewe andika happy birthday to bila kanamba, hahaha (kidding)...30 yrs old my swir.
Khee!! Hivi vitoto vinafanya nini huku JF? Si mwende shule mkasome???da!umenizidi siku 9 tu i see!
Afadhali umewaambia mzee mwenzangu..... Hebu waambie hawa watoto wakakojoe wakalale bana.Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,
Sikujua kama na wewe snowhite bado unadai kiasi hicho...enzi zetu hapo mzee mzima angekuwa anasubiria trip zaidi ya 6 hivi za kwenda labour room kupiga mayowe!!
Halafu kuanzia leo ukisikia harufu ya Babu DC....hapo hapo piga magoti na kukata shikamoo kwa herufi kubwa!!
Babu DC!!
Hahahaha!Hapo sasa umekuwa mjukuu mtiifu...ningekuwa Babu Asprin ningekuelekeza hatua inayofuata...
Ila kwa Babu DC, tumeishia hapo...Bwana awe nawe daima..lol!!
Babu DC!!
Happy Birthday My Dada Mnoko! Mungu akubariki ufike japo miaka 25 na wewe uolewe ujue tamu ya ndoa.....
Eboh! kumbe bado mtoto hivi? Ushavunja ungo? Siku nyingine uwe unaniamkia kabla hujaquote posts zangu. Malabuku!!
Khee!! Hivi vitoto vinafanya nini huku JF? Si mwende shule mkasome???
Afadhali umewaambia mzee mwenzangu..... Hebu waambie hawa watoto wakakojoe wakalale bana.
Yaani siamini wakati wanazaliwa sisi ndio tunarudi Tanzania tokea kwenye vita Kampala. Iddi Amin hakuwa na hamu na sisi.
Hahahahaha! Unavunja mbavu zangu mzee mwenzangu. Unataka kuniambia hata yale mabasi ya KAMATA na magari ya FORD hawajawahi kuyaona?? Wamshukuru Mwakyembe labda wataambulia kupanda Treni ya TRC, siku hizi TRL.Hebu muulize snowhite kama anajua cameo cinema ni wapi... Au New Chox LOLKwa hawa jamaa dizaini ya Nyamayao (Nyamayetu) na snowhite, hawakawii kukuuliza kwamba hiyo ndiyo model gani ya Vitz?
Ngoja sasa tujipange kuwalea hawa watoto na wajukuu....
Au mzee mwenzangu tujiengue kiutu uzima.....???
Hawa watoto tunaoshinda nao hapa, wengine hawajafikia hata umri wa kuwa wajukuu...may be vitukuu!!
Babu DC!!