Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,324
- 62,206
Nirudie majibu ya maamuzi lini?Wacha niamue.
Nirudie majibu ya maamuzi lini?Wacha niamue.
Bas sawa Half an hour left, nitarudiLeo saa saba.
Usicheke Sana Fanya hima utimize maelekezo PM chaap nakusubiriHahahaha nimecheka sana,
Pia nipo hapa ngazija.
Tayari imefikaLeo saa saba.
Usimpangie Mungu!Assalaam,
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu, namshukuru Mungu kwa kuifika siku ya leo nikiwa na afya njema.
Allah anijalie afya njema, anilinde, niishi kwa kumpendeza yeye.
Oooh ushangazi unanikaribia🙂🙂
Kula bata huenda hii ikawa ndo kumbukizi yako ya mwisho!INakuwaje?
Ukipata chance piga..wizi ni dhambi ila kufa masikini si utakatifu!Ooooh kweli,kifo ni fumbo pia, kuna cha mafisadi Mungu aniepushe
Nilitaka nikutag, huyu sio mdogo ako.happy bday to you,
Mungu akulinde kipenzi chetu🥰
Ni yeyeee,mamboNilitaka nikutag, huyu sio mdogo ako.