Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,577
Kuna midume humu inaweka avatar za kikeUlidhani ni ME?
Kuna midume humu inaweka avatar za kikeUlidhani ni ME?
Mwambie mwenyewe unaogopa nini?Kala chumvi nyingi eeeh,
Nimsalimie😁,mwambie namsalimia.
Ili tunase kwenye mitego yaoNdiyo,hili iweje?
gallow bird umemuona behind keyboard ni jamaa lina Kengele chinihahaha,mnazama PM
NIsaedie ku tag mods wanirekebishie titleIli tunase kwenye mitego yao
Loooooh makubwa.gallow bird umemuona behind keyboard ni jamaa lina Kengele chini
Sijui km ana makengele makubwa kwani wewe ushawahi yaona?Loooooh makubwa.
Mimi sijui na wala sitaki kujua, happy Birthday una miaka mingap?Sijawahi yaona,wala simjui😁,
Wewe umejuaje??
Ahsante kwa kuniamkia,zawadi utazikuta july tunaunga bday zote.Nasubiri zawadi zangu,
Shikamoo.
Unawaogopea nini? Nawewe utazeeka tuNawaogopa wazee.
Emu achana na huyo, kumbe mtoto wa 2000Nilijua wajua,
22yrs.
Unasikia wapi ? Kumbuka nawe utakuwa mzee, ukizeeka utakuwa mchawi?NAsikia wazee ni wachawi😁,
Vipi huyo ana skendo?
Unasikia wapi ? Kumbuka nawe utakuwa mzee, ukizeeka utakuwa mchawi?
Hayo ya skendo
Mimi nikizeeka nitafrahi sana,Unasikia wapi ? Kumbuka nawe utakuwa mzee, ukizeeka utakuwa mchawi?
Hayo ya skendo muulize mwenyewe