cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,296
Poaah dear, vipi huko?Ni yeyeee,mambo
Poaah dear, vipi huko?Ni yeyeee,mambo
Huku poa,baridi linapiga hadi kwenye ubongo.Poaah dear, vipi huko?
Vipi sasaOoooh
Mie unahisi nina mda maalum sasa😃😃,. Naweza nikalala sa10 nimaamka sa11 kasoroMh! baby unalalaga sangapi nakuamka sangapi..?
Umejuaje kuwa yupo mbali?Hakika Mkuu!
Angekuwa jirani ningemwagizia Keki katika Siku hii muhimu kwake🤗
Si unajua Vijana wengi wanaishi Mjini kasoro Mimi Babu yao ambaye niko huku shambani Namanyere 🤗Umejuaje kuwa yupo mbali?
🙏🙏🙏Thanks dear, ubarikiwe pia.
Namanyere n mtwara/lindi?Si unajua Vijana wengi wanaishi Mjini kasoro Mimi Babu yao ambaye niko huku shambani Namanyere 🤗
Haya banaUmechelewa
Aamiin Mjukuu 🙏🙏Ahsante,ahsante kwa baraka zako,
Ubarikiwe.
Nipo zangu Rukwa huku nalima zangu maharage saiviNamanyere n mtwara/lindi?