Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,079
- 111,683
Sidhan labda huko kwenu, kwetu wazee ni hazina ya mengi.Mimi nikizeeka nitafrahi sana,
Skendo za uchawi kila mzee anazo.
Sidhan labda huko kwenu, kwetu wazee ni hazina ya mengi.Mimi nikizeeka nitafrahi sana,
Skendo za uchawi kila mzee anazo.
Mtoto ndio maana unaomba Zawadi wakubwa hatumbi Zawadi kisa tumezaliwaMimi sio mtoto
Nimevuka 18yrs.
Babu yakoNimemuomba nani😁
Happy birthday 🥳,mwakani Tufanye mpango kama #MisaKiAssalaam,
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,namshukuru Mungu kwa kuifika siku ya leo nikiwa na afya njema,
Allah anijalie afya njema,anilinde,niishi kwa kumpendeza yeye,
Oooh ushangazi unanikaribia🙂🙂
Basi Bibi yakoMmmmh mbona unanipakazia,
Umeolewa?Watajijua wenyewe.
VizuriAHsante,nimejifunza kitu
Tuma Namba inayopokea uenjoy birthday 🎂Ahsante,kikubwa uzima.