happy birthday sweetlady!!!!!

happy birthday sweetlady!!!!!

marejesho akikamata ulabu atakusahau mwaya wifi Madam B anafaa japokuwa Arushaone na Filipo wanamwogopa sijui kawafanya nini.......kaka nitonye amekwenda kununua Amarula ukiwekewa kwenye chupa ya maziwa watu wasishtukie dili .........hivi ile supu ya utumbo anatengeneza Erickb52

Umeonae?.....ndio mana nimemkataa marejesho .....bora hata huyo Madame B ...... Filipo na Arushaone washajilewea sahizi bado jua kali.......supu ya utumbo aliambiwa Erickb52 ashirikiane na Judgement kuitengeneza!
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe makutano lazima nifike lol.....afu una mkwara wewe! Catherine ukianza kufika makutano unistue manake nna bonge la news.......utavheka uvunje mbavu walah tena !

Ahasante sana kipenzi

unanipaje hamu sasa,... Sa tatu tatu basi, najua utakuwa ushamaliza zile shughuli zako. Lol.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom