sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
nakutisha ndio, si unajua nina phd ya mikwara. Lol
Hahahahah mtoto ataanza kulia sasahivi......kwa mikwara nakuaminia hahaha!
nakutisha ndio, si unajua nina phd ya mikwara. Lol
ooh, nikikuona unacheka nakupa nakozzzzzz!!!
Heeeee !!!wewe, khaaa! Mtoto bado utosi unadunda ujue......utaua bana!
Hahahaha mie nilifikiri unaenda home kumchukua wife mje nae lol.......nakuPM usijali!
hahahah kwanza analea, pili nikiwa nae kwenye shughuli kama hizi ni sawa na kuvalishwa pingu... hata kupepesa majicho ngumu... wacha nijilipue tu..
mtoto mwenyewe anamaneno ameanza kuongea toka akiwa tumboni
Hahahahaha mwache aendelee kulea we jilipue ila kwa leo tu....
si kwa leo tu angalau kwa wiki mara 2 au moja la sivyo naweza kugeuka mchungaji... na umri huu ntaonekana tapeli...
Heeeee !!!wewe, khaaa! Mtoto bado utosi unadunda ujue......utaua bana!
Hahahahah mtoto ataanza kulia sasahivi......kwa mikwara nakuaminia hahaha!
we mtoto utaota meno kabla ya umri. Una porojo laki tisa.
Unamsimanga mtoto .
halafu nimemuona x shem Vin Diesel jukwaa la matangazo. Kuna zawadi anakutaftia.