happy birthday sweetlady!!!!!

happy birthday sweetlady!!!!!

Happy birthday to you sweetlady,... Utaweza fika makutano nikupe zawadi yako.? (ni ndogo lakini, si unajua mwisho wa mwezi umeisha juzi tu)


Hehehehe makutano lazima nifike lol.....afu una mkwara wewe! Catherine ukianza kufika makutano unistue manake nna bonge la news.......utavheka uvunje mbavu walah tena !

Ahasante sana kipenzi
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha miaka 55 ????? lolest.......mwanafunzi kikongwe kuliko mwalimu wake???...... Nashukuru sana platozoom......maji yapo ya kila aina wewe tu!

Elimu haina mwisho...........najua hata wewe unaweza kuwa mwalimu wangu kwenye jukwaa lileee chini kabisa
 
Hawezi huyo, ujanja wake upo kanyigo tu! Btw, kuna dressing code hapo ukumbini au tunatinga hata pensi na makubazi!

Hakuna dressing code kipipi lol......kumbe yale makubazi bado unayo? Vaa hayo hayo manake yanakutoaga kweli
 
Ina maana SL amevuka malengo ya Milenia, basi Mhishimiwa Rahisi inabidi amtumie salam za Pongezi..
Nikifikisha hata nusu tu ya huo Umri wake lazima niitishe Boooooooooooooonge la Pati...
Manake hii dunia inavyozunguluka hata nashindwa kuielewa!
Hahahaha pacha umesahau majungu ya Bishanga???....wewe mwenyewe wajua pacha wako nimetimiza miaka mingapi leo........yaani lulu kanizidi 4yrs lol
 
Last edited by a moderator:
sasa naomba kadi

Khaaa hivi kumbe hujapewa kadi mpaka sahizi???

Mtafute snowhite nilimpatia akupe......ukimkosa sema hata na pacha wake SnowBall

Afu Kaunga mbona haji kuniimbia jamani???....... najua gfsonwin angekuja kujumuika nasi sema anauguliwa na mwanetu (UGUZA POLE DIA) hope mwaendelea vizuri huko......ntakuja kuwaona afta party.
Erotica nae kwishney ujanja wote mfukoni
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom