sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
akusikilize wewe iweje wakati ushawachanganya
Na bado watajibeba mwaka huu......ila wifi ushaanza kulewa eeh.....mbona uko kishari shari hivyo.....huniheshimu mie wifi yako jamani
akusikilize wewe iweje wakati ushawachanganya
Haswaaa umepatia kabisa hata hujakosea Sweetlady
- 😛hoto:
Mwambie nimezaliwa mount meru kitovu kikatupwa mto themi lol
Kwa kwel sijui
Ahsante, hapo ujue nime-mmiss sana!
akusikilize wewe iweje wakati ushawachanganya
hahahahahaha kikaokotwa bwawa la nani hiiiiii
Na bado watajibeba mwaka huu......ila wifi ushaanza kulewa eeh.....mbona uko kishari shari hivyo.....huniheshimu mie wifi yako jamani
Hahahaha unamwogopa au?
hahahahahaha kikaokotwa bwawa la nani hiiiiii
Hahahahahah bwawa la nini tena?
unatakiwa kuniheshimu mie nimekupa kaka khaaa.......hapa umeshaanza kunitukana nimelewa wakati nakunywa Absolute haileweshi
hahahahaha la chakula kichafu wifi
We nae unajipendekeza kwa Blaki Womani
Na hiyo mbege kwenye kigaloni ni ya nini hapo pembeni?
Hivi ni wimbo gani unaimbwa sasa ukumbini, maana naona TBL wananizidi kete