sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Jamani nilivokuwa maarufu hivi afu nirudishwe mlangoni?
We acha usije nayo afu uone kama utaruhusiwa kuingia
Jamani nilivokuwa maarufu hivi afu nirudishwe mlangoni?
Nilikuwa nimepumzika humu chumbani baada ya kuchoka na safari ya Ngorongoro, kumbe hao wanaoimba huko ukimbini wankuibia wewe! Naja sasa hivi.... Nicas Mtei njoo aisee
klorokwini ndie alikuwa na hiyo tabia ya kuiba kwenye shughuli za watu.....ila leo hayupoNajua wewe huwezi kuiba ila kuna wale jamaa hata umeme wanakata ili waibe hizo zawadi!
Heeeeeeee una visa wewe......mtoto kazaliwa leo anawezaje kupokea zawadi?
wakati anazaliwa nesi aliangusha mkasi kakalia akasema pesa yake lol
Hivi hajaacha tu hii tabia?klorokwini ndie alikuwa na hiyo tabia ya kuiba kwenye shughuli za watu.....ila leo hayupo
Hahahahhaha lol.....wifi umenichoka daaah!....mtoto nimecheka mpaka mapengo yameonekana!
unafanya nini hapa.......vizawadi ya pesa anawekewa kwenye babyshow
Nani mwakilishi wake sasa? Atakua..................el!
Muulize dada yao Blaki Womani !
nitonye kanyimwa kadi sura yake inamtisha mtoto
sweetlady ametoa kadi za kumbi 2 tofautiMuulize dada yao Blaki Womani !