makazi yamehamishiwa kwa Filipo baada ya kumtosa Vin Diesel
Unaiaibisha familia yenu ujue.......mie Bishanga kanambia nitangaze kuwa tupo ngurdoto lol....wifi mbea wewe
aaaahh wapi wifi wapenda makubwa... Bishanga alitamba ingekuwa ngurudoto baada ya kukosa mkopo kwa Nicas Mtei akabadilisha ukumbi Mtambuzi hakufika bei lol
Kwamba kamuuza mtu wake kuwa wapo Ngurudoto kumbe wapo pale naniliii?
Kwamba unabisha nitonye hana sura mbaya?
Police mess na B.O.T lol
Unamsikiliza Blaki Womani au mimi?