Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
nimemwona Nicas Mtei ameleta ka babywaker
@Blaki Woman kusanya zawadi zako unipe nimpelekee sweetlady
Last edited by a moderator:
nimemwona Nicas Mtei ameleta ka babywaker
umesahau kuwa Bishanga ni kujishaua ndo style yake?
Kumbe bado upo ......hakikisha unafikisha hizo zawadi zangu toka kwa Mwanyasi
Ha ha ha Mhe. Rais wa eneo maalum hapa duniani upo?
Ni kwanini mtoto aliyezaliwa leo hana imani na wewe!
Nilitaka nitume chapaa uende pale kwa Benson ukamletee mdori na kamera eti hataki uende wewe? Hi ulimuahidi u-DC akikua?
nimemwona Nicas Mtei ameleta ka babywaker
Hapo sawa, embu nipe mpango wa jioni hii party wapi tukachome mbuzi?
Heri mimi sijasema
Jamani huyu mtoto atatembea leo leo?
mtoto mwenyewe alishatembea toka tumboni