happy birthday sweetlady!!!!!

happy birthday sweetlady!!!!!

Last edited by a moderator:
As you celebrate this,unapunguza miaka ya kuish bt let me b among ov them to wish u'happyyy birthday dear SL&may god help u live long.
 
As you celebrate this,unapunguza miaka ya kuish bt let me b among ov them to wish u'happyyy birthday dear SL&may god help u live long.


Heeee hapo red mtoto nimepata stress tehe tehe......ahsante sana delako .....karibu kwenye party!
 
Last edited by a moderator:
No!......hagi si mpaka anunue vogue???.....akinidrive mpaka home anapata goodbye kiss la kwenye mkono.....sio uso kwa uso lol

orait, nilifikiri vigezo na masharti vimelegezwa. Lol.
Ukuje makutano na birth certificate yako.... Maana u look young utafikiri wakua kurudi nyuma. Lol,
 
Vin Diesel sepa fasta kabla mtoto hajajinyea kwa hasira. Dah, mie pia naomba nisign out si unajua inabidi kurekebisha mambo chap ili isiwe sa tatu ya kiswahili. Akija Bishanga msalimie sana

Hahahaha asante sana baunsa wangu.....aende tu lol! Mie pia natoka kidogo ..... Bishanga hawezi kuja tena manake ashalala kwa ulevi.....amekunywa banana sio chini ya 10 afu akachanganya na viroba!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha mie nasubiri uanzishe nije nishike sadaka lol......humjui mchungaji Filipo???.....ni mchungaji mashuhuri sana hapa mjini ana msaidizi wake anaitwa Erickb52.....kanisa lao lipo maeneo ya unga ltd

subiri kama ****** hatabadili hali ya hewa january jiandae, kama wachungaji wenyewe ndio wanakondoo wao watajikuta hata manyoya hamna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom