Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,948
- 13,378
Usijali mkuu tuko pamoja.Ahsante sana Washawasha a.k.a mzee wa kulog off..
Nalog off
Usijali mkuu tuko pamoja.Ahsante sana Washawasha a.k.a mzee wa kulog off..
Mweeeh Bujibuji.. Kwanza ninashukuru kwa pongezi ila hii pic yako inanitatiza kidogo kama ilivyomtatiza ladyfurahia lol..
Halafu mie sio play boy... Nimekuwa sasa..
Usitatizike mshikaji wangu sosoliso, halafu mwenzio nina kipaji cha ajabu sana, tena cha hali ya juu, eti napenda kuona watu wakiachana na wa penzi wao. Natamani sana kuona mwaJ na Mwita Maranya wakiahana, wewe na Paloma mkiachana, halafu mi naishia tu kufurahia, wala sina time na wanawake zenu.
Mie nipo, sema majukumu ndio yamenibana. Si unajua Ikulu tena.
Usitatizike mshikaji wangu sosoliso, halafu mwenzio nina kipaji cha ajabu sana, tena cha hali ya juu, eti napenda kuona watu wakiachana na wa penzi wao. Natamani sana kuona mwaJ na Mwita Maranya wakiahana, wewe na Paloma mkiachana, halafu mi naishia tu kufurahia, wala sina time na wanawake zenu.
Ahsante sana kamanda Mwita Maranya.. Nahakikisha Paloma anapata atakacho..