Happy Birthday Sosoliso........!!!

Happy Birthday Sosoliso........!!!

Warmly welcome sweetie....such a long long time

Miss you lots

Ndo umuulize huyu mumeo Erickb52 alikuwa amefungiwa wapi mpaka 'such long time'.. Chezea Tanga line wewe.. alikuwa anabebwa kupelekwa bafuni kuoga.. kisha anakandwa na machicha ya nazi lol..
 
Last edited by a moderator:
Usitatizike mshikaji wangu sosoliso, halafu mwenzio nina kipaji cha ajabu sana, tena cha hali ya juu, eti napenda kuona watu wakiachana na wa penzi wao. Natamani sana kuona mwaJ na Mwita Maranya wakiahana, wewe na Paloma mkiachana, halafu mi naishia tu kufurahia, wala sina time na wanawake zenu.
We Bujibuji kwa taarifa yako mie na Mwita Maranya hatuachani ng'oooo! Kama huna kitu kingine cha kukufurahisha andika maumivu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom