Happy Birthday Sosoliso........!!!

Happy Birthday Sosoliso........!!!

Mamndenyi
Panga ratiba tumtoe sosoliso weekend akale vitu vilivyoratibiwa! Happy birthday Mungu akupe siha uzidi kunawiri kiafya na kimwili; mwaka mpya na mambo yawe mapya vile vidagaa vya Coco beach viwe mwiko mwachie Bujibuji ajidai kwenye anga zake!

Ahsante sana Sheikh wangu chama.. Nimeacha hayo mauzauza mie.. Bujibuji anaendeleza..
 
Last edited by a moderator:
Binamu nimekukumbuka sana.

Acha kabisa binamu Madame B mimi hata sitaki kusema kiwango cha kukumisi nilichonacho.

Fanya mpango basi tukutane kule kule kwa Juzi...LTHP.:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Last edited by a moderator:
chama
ratiba iko poa,
andaa usafiri tu ila usisahau kutumia ile gari yenye
bendara ya CCM; hapo ndipo ukomavu wa makamanda
kama sosoliso na mkewe Paloma utakapoonekana.

Mamndenyi
Panga ratiba tumtoe sosoliso weekend akale vitu vilivyoratibiwa! Happy birthday Mungu akupe siha uzidi kunawiri kiafya na kimwili; mwaka mpya na mambo yawe mapya vile vidagaa vya Coco beach viwe mwiko mwachie Bujibuji ajidai kwenye anga zake!
 
Last edited by a moderator:
Acha kabisa binamu Madame B mimi hata sitaki kusema kiwango cha kukumisi nilichonacho.

Fanya mpango basi tukutane kule kule kwa Juzi...LTHP.:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:

Asante sana binamu.
Tutaonana tu. Nadhani Jumamosi.
 
Last edited by a moderator:
chama
ratiba iko poa,
andaa usafiri tu ila usisahau kutumia ile gari yenye
bendara ya CCM; hapo ndipo ukomavu wa makamanda
kama sosoliso na mkewe Paloma utakapoonekana.
Mamndenyi
Hilo tu sema jingine sosoliso lazima ale raha mwaka wake huu labda aharibu mwenyewe kuna mambo mengi matamu chama makini CCM kinamuandalia!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom