Happy Birthday Mzigua90

Shunie

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
153,009
454,012
Happy birthday wakunyumba wangu, rafiki yangu kipenzi mie na wewe tunajuana wenyewe nakuombea kwa Mungu akupe kila hitaji lako la moyo litimie kwa wakati.. Akuepushe na husda za walimwengu.

Happy birthday mama Li nitarudi acha niendelee na lindo babe.

Tukikutana maeneo yetu ya kujidai niko na bucket yako hapa

 
Hii avatary yake ya sasa imebadili fikra zangu kwake namna alivyo.

Happy birthday kwako. Miaka yote ya furaha na aman ujaaliwe.

Cc Mzigua90
 
Heri ya kuzaliwa mdada, nikutakie mafanikio mema kwa miaka mingine utakayopewa na Mungu na daima udumu kumtegemea yeye pekee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom