Happy birthday Smart911

Mi Huwa namwambia kivuruge wangu ikitokea mwanamke kakuelewa kaileta weee fumuaaa tu mtieee kisawasawa mpaka aombe pooo anaishia kucheka..
Hakunaa ushindwee... Hayanaga miongozo ya namna hiyo... 😂
 
Hakunaa ushindwee... Hayanaga miongozo ya namna hiyo... 😂
Acha kuniangushaa . Wee mwanaume Unakataaje utelezi ??????

Mi Siku mtu ajichanganye afu nimuelewe weeeehh😊😊😄😄😄

Ni basi tu sina bahati nawatu kunielewa.
 
Acha kuniangushaa . Wee mwanaume Unakataaje utelezi ??????

Mi Siku mtu ajichanganye afu nimuelewe weeeehh😊😊😄😄😄

Ni basi tu sina bahati nawatu kunielewa.
😂🤣 Huna ubavu huo... Nipo sure asilimia zote...
 
Wee ngoja tu Siku mtu ajichanganye niielewe. Nampeaa aifumueee tanii yakee☺☺☺😄
Uhakika au siyo... Hahaha... Nipo hapa kama utaweza...
Kila ukikaa ni smart smart mpaka unaumwaga...
Mpaka unasema kwa hiyo mimi chizi...
 
Maisha marefu kwake...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…