EeenhKaka wa damu, hata akikaa vibaya naangalia pembeni hahaha!!

Wanasema mpare na msambaa ni ndugu. Hata tabia zetu zinafanana tu!Hatuna tofauti ya nini eti
Suprise my foot, hapa naona suprise iloandaliwa ni wolidi kapu tu. Tumewastukia.Tulipanga na kaka Watu8 iwe siri tukufanyie surprise ila Jael kaharibu,, auntie yako ana kiherehere ka mke wa balozi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haujataka adrees ujue ebu utume nyinginyingi sawaHuo mhamala usio na address unafikaje we besidei gelo?
Hahhaahhaha
Usiende, hata hivyo huko Idodomya nina wasiwasi sana.
Kwahiyo nikimmiss niende tu si ndio? Hata hivyo si ninarudi tu jamani.
Hebu huko na wewe!!Woyooooo



kaka
Na wote tuseme amina. Mimi napenda hadi najizua, manake nisipoangalia nafwaa!!
Woyooooo pm ukuje jamani sakayo kama namuonaNasubiri address hivyo...
8. Kucheza nini eti jamaniOkee Okee
1. Kula
2. Kulala
3. Kusafiri
4. Kusoma
5. Kusikiliza miziki
6. Kuimba
7. Kuangalia movies
8. Kucheza
9. Kuangalia mpira
10. Kufanya tahajudi (meditation)
haya weka nawe yako hapa
Sent using Jamii Forums mobile app