Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,244
- 90,420
Birthday girl anapokea zawadi kupitia utaratibu UPI ,naomba Muongozo
MTC | 101|
MTC | 101|


Asante sana BellaHappy birthday kwake
Asante we mzee napokea mwenyewe jamani ebu fanya utume basiBirthday girl anapokea zawadi kupitia utaratibu UPI ,naomba Muongozo
MTC | 101|![]()
Ameen Vinci barikiwa mnoooHappy birthday kibinge mweusi.
Mungu akujalie afya na mahitaji yako yote
Happy birthday darling,Mungu akupe haja ya moyo wako na miaka mingi yenye baraka teleee
Sent using Jamii Forums mobile app



thank u dearHaaaaaa!!!! MaajabuAmeen Vinci barikiwa mnooo
Haaaaaa!!!! Maajabu
Ahsante


Mwenyewe nimejishangaa yaani nilikua naandika uku nafuta inabidi nizoee hivyohivyo kiubishi
..Damu ya Yesu ikutunze.Hahahaha ,sawa namba ni ile ile sio?Asante we mzee napokea mwenyewe jamani ebu fanya utume basi

Ayaaaa Baby same to you ,barikiwa mnoooAsante Carlos kwa kunikumbushaubarikiwe mnoo
Ameen babeHappy birthday shunie..Damu ya Yesu ikutunze.
Esta 2:17 na Yeremia 33:3 ndiyo zawadi yangu kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app


Damu ya Yesu itutunze wote
uliyonipa ubarikiwe mnooo maaa
Ileile ebu fanya kutuma nyinginyingi we mzeeHahahaha ,sawa namba ni ile ile sio?
MTC | 101|![]()
Ameen dearH'bday bidada Allah akuzidishie umri mrefu wenye manufaa leo duniani na kesho akhera.



Hahahaha haina tatizo , nishaanza kufanya muamala tegemea lolote kuanzia sasa kwa simu yako , mtoto mlitoIleile ebu fanya kutuma nyinginyingi we mzee

Niko nasubiri we mzeeHahahaha haina tatizo , nishaanza kufanya muamala tegemea lolote kuanzia sasa kwa simu yako , mtoto mlito
MTC | 101|![]()
Ndio.Jamani jamani na wewe ukaamua kubadili