Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Asante sanaShukran Kaka akee
Asante sanaShukran Kaka akee
Ameen dear..furahia siku yako na nyingine zijazo.Ameen babeDamu ya Yesu itutunze wote
Asante kwa zawadi kubwauliyonipa ubarikiwe mnooo maaa
Mjeda nani etiMuulize mjeda
Mwezi wa kwanza.Anakuja linii
Marahaba mdogo wangu, hata kualikana?Shkamoo jamani kaka
Marabahaaa.Napokea zawadi
Shkamoo
Tatizo tunapishanaga.Kwa nini eti jamani unanitesa hivyo babake
Kwahiyo kaka umeamua kumsaidia Mungu kazi?



kwani wewe amekufanikishia mambo yako yote? Mengine anakuacha upambane kivyako.