Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Usilie kipenzi... Leo ni siku yako ujue!!Yaan nalia mm sijui machozi ya furaha sijui ya nini jamani sikutegemea kukutana na haya
Hahhaha eti kuna mda nakuwa mkalimpaka niwe mkali ujue umenikera
Ndiwooo, ukiniamulia huwa nakoma kabisaaa!! Hiyo imenisaidia saivi niko na roho ya mjomba


