Miaka 54 ni binti?Heri ya kuzaliwa binti
Miaka 54 ni binti?Heri ya kuzaliwa binti
Hahahaaa. Kuna kitu aliniambia nilicheka sana juzi. Lol.Hadi nimuite😂
Ahsante sana My dear. 🙏Happy birthday ❤️
Yaani. Hivi tumepishanaga siku tatu au nne vile?Happy birthday my fellow Gemini, ungenisubiri kidogo tuzaliwe pamoja
🤣🤣Hahahaa. Lol.
Mtani sana Mtani. Japo jukwaa letu kule limepoa sana siku hizi.
Wapi wameandika 54 yrs hata hivyo ni binti wa zamaniMiaka 54 ni binti?
Thanks a lot. 🙏Happy birthday my fellow Gemini, ungenisubiri kidogo tuzaliwe pamoja
Siku tatu tu, Mm jumatano nakuja duniani. Sijui ulikua wawahi nini dunia hii yanye kero za kila namnaYaani. Hivi tumepishanaga siku tatu au nne vile?
Yaani. 🤣🤣Amejivutaa😂
Binti wa zamani. 🤣🤣Heri ya kuzaliwa binti
Thanks aisee. Rafiki wa kudumu.Happy Born my bff for all time in Jf
Lol.Weka picha yake na wengine tumjue. Mambo ya kuwatakia well wishes watu ambao hatuwaoni yanaleta ukakasi.
Anapokea,unapokea kwa njia ipi salama kwako?
Au nasema uongo?Binti wa zamani. 🤣🤣
Ahsante sana Mkuu.
Mkuu mbona umepunguza sasa au umejisahau.Miaka 54 ni binti?
Ahsante sana Shemeji. 🙏