Hahahaa. Lol.Happy birthday sister uto
Hahahaa. Eti kakosa majina yoote hadi ananiita Sister Uto. Lol.
Ahsante sana Shem wa mimi. 🙏Familia HBDView attachment 3602792
Ahsante sana rafiki. 🤝Heri ya kuzaliwa bi mzuri.
Hicho hakikwepeki wala kuepukika Mkuu.hongera kwa kukikaribia kifo🎂🎂🎂
Ewaaaa.Anapokea,napokea😂
Hahahaaaa. Lol.Eeeh😂, huko uzeeni tunaenda wote💃
Weka picha yake na wengine tumjue. Mambo ya kuwatakia well wishes watu ambao hatuwaoni yanaleta ukakasi.Assalaam
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwako kipenzi😍,
Allah akujaalie kheri,uzima afya njema,uishi sana uone Hadi vitukuu🥰
Happybirthdaymywizzzz🥰
Anapokea,unapokea kwa njia ipi salama kwako?Anapokea,napokea😂