Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,024
- 126,002
Ahsante sana jamani. Japo si kwa misifa hii. Lol.Happy birthday dada mwenye ustaarabu wake.
🙏🙏
Ahsante sana jamani. Japo si kwa misifa hii. Lol.Happy birthday dada mwenye ustaarabu wake.
You deserve it mamaaAhsante sana jamani. Japo si kwa misifa hii. Lol.
🙏🙏
🙏🙏You deserve it mamaa
Ndugu yako umeniacha ujue? Nimetoka kapa hapa. 😃Chuma Hicho
Mlisema Miye Mpole Dawa Kuleta Mkali
nawaletea Chuma Hiki Pale Miye Nilipokwenda Pole Pole Yeye Atakwenda Kwa Speed
Nawaletea Chuma Hicho Na Sasa Kinatema Che Che Che
Mimi Sasa Nakwenda Msoga Nalala Usingizi Baridii
🤪😁😊🤣😍😍😃😬😎😬🤪😂😆😀😀
Swahiba nimepiga hodi kwenye kile chama chenu.Happy birthday swahiba @Shadeeya,miaka 22 si mchezo swahiba 😍
Karibu sana swahibaSwahiba nimepiga hodi kwenye kile chama chenu.
Ahsante sana Swahiba. 🙏Karibu sana swahiba
Ipo huko inbokisiiIla mdogo wangu umenisusa sana ujue.
Haya hiyo mijizawadi iko wapi eti. 😃
Oke oke mdogo wangu. Ahsante. 🙏Ipo huko inbokisii