Familia HBDAssalaam
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwako kipenzi😍,
Allah akujaalie kheri,uzima afya njema,uishi sana uone Hadi vitukuu🥰
Happybirthdaymywizzzz🥰
😂😂😂😂Familia HBDView attachment 3602792
HUjambo?
Sijambo SHIKAMOHUjambo?
Kilichozaliwa,na kitakufa ni lazimahongera kwa kukikaribia kifo🎂🎂🎂
Marhaba mkuu,Sijambo SHIKAMO
Una maanisha kua amepoteza mwaka mwingine katika miaka ya maisha yake sio?hongera kwa kukikaribia kifo🎂🎂🎂
Aisee😂Una maanisha kua amepoteza mwaka mwingine katika miaka ya maisha yake sio?
AbsolutelyUna maanisha kua amepoteza mwaka mwingine katika miaka ya maisha yake sio?
HaswaaUna maanisha kua amepoteza mwaka mwingine katika miaka ya maisha yake sio?
Shadeeya na zawadi anapokea?Marhaba mkuu,
Hii no Personal sasa😃Familia HBDView attachment 3602792