Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,052
- 33,743
Hii no Personal sasa😃Familia HBDView attachment 3602792
Hii no Personal sasa😃Familia HBDView attachment 3602792
Uwiiii!! Walahi vile umejua kunisurprise my Wi.Assalaam
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwako kipenzi😍,
Allah akujaalie kheri,uzima afya njema,uishi sana uone Hadi vitukuu🥰
Happybirthdaymywizzzz🥰
Amiin InshAllah. Pia ahsante sana Wifi yangu kipenzi.Assalaam
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwako kipenzi😍,
Allah akujaalie kheri,uzima afya njema,uishi sana uone Hadi vitukuu🥰
Happybirthdaymywizzzz🥰
Hivi kaja kweli?
Mana sikuhizi anajifanya huu Mtandao haupendi eti. 🤣🤣
Huku sasa hivi kumekua kama facebook na instagram.nipo Club house tu
Ahsante sana Mkuu. 🙏Happy birthday Shadeeya !