#-#-# Happy Birthday Sangara#-#-#

Kumbe kuna watu wanafahamiana humu, sasa kuna haja gani ya kuendelea kutumia majina bandia?
 
happy birthday balloon_glitter_bunch.gif

happy birthday sangara.
 
Ashadii...nashukuru sana kwa kunitakia heri ya siku yangu ya kuzaliwa.
Umekuwa rafiki yangu siku zote tangu tufahamiane na namshukuru sana Mungu kwa kutukutanisha.
Eid hii iwe njema sana kwako na familia yako.
S.


Asante Sangara... Namshukuru Mungu Eid ilikua Njema.
 
Sangara wa Mwanza Happy Birthaday.
Ingawa siku hizi tunakula mapanki Sangara wote wanakwenda Ulaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom