Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,059
- 74,465
Ulipo nipo mimi jamaniii, labda kwa kuchelewa tuu, bora sikuona ningelia mimi
Ulipo nipo mimi jamaniii, labda kwa kuchelewa tuu, bora sikuona ningelia mimi
Hahaha hahaha hahahaKwahiyo mother confessor hajatakiwa kuzaliwa june au
Sawa dadaEbu ngoja wakuje watuambie
Hahaha hahaha hahaha
He heeeEeeehhh
My dear, umefichwa na mmarekani kabisaaa?!
Keki imeisha dear, nasubiria zawadi yangu tuuu
Hahaha hahaha hahahaHe heee
Basi hizo zawadi zako usisahau kugawana na mimi eh
Ndio June 18Nawewe ni June?
Wow..Ndio June 18
Wastaarabu saaanaa...halafu watamm+akili smart yaanii Mungu atupe nini akina June siee...
Hahaha hahaha hahahaWastaarabu saaanaa...halafu watamm+akili smart yaanii Mungu atupe nini akina June siee...
Muulize.......ooopsss🤦♀️ nilitaka nimtaje Hahaha Shunie anamjuaaHahaha hahaha hahaha
Wewe umenishinda tabia jamaniii
Jamani dear nipo wangu, Mungu akuongezee miaka mingine mingi yenye afya tele na amani bila kumsahau upendoThank you dear one!
Nani anakuficha eti dear
Hongera, siku moja baada ya kuzaliwa mimiNdio June 18
Unafichwa sana jamanii. .Jamani dear nipo wangu, Mungu akuongezee miaka mingine mingi yenye afya tele na amani bila kumsahau upendo
Aiseee ahsanteWow..
Hongera sana jamanii
Ngoja akujeee😅😅Hahaha hahaha
Anamjua nani tena jamani
Ngoja akujeee😅😅Hahaha hahaha
Anamjua nani tena jamani
Kumbe tumefuatanaHongera, siku moja baada ya kuzaliwa mimi