Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,545
- 63,023
Nimefanya nini tena mke wangu..?Wewe si wa kunifanyia hivyo jamani
Nimefanya nini tena mke wangu..?Wewe si wa kunifanyia hivyo jamani
Kuleni maisha
Unajua baba NaahNimefanya nini tena mke wangu..?
Najua na unajua nakupenda mama Naah..Unajua baba Naah
Kwahiyo unaniambia upo kwenye mission flan hiv special special yani?Unafikili kaka angu sijui kama wahuni basi nalifahamu hilo
manenoo hayo, unakuja na usafiri gani nijue nakupokeaje kiroho safi tuNitamtafuta vizuri tuyajenge na kaka wenu 🤣 🤣 🤣
Big toys za wanaume wa ngerengere shemmanenoo hayo, unakuja na usafiri gani nijue nakupokeaje kiroho safi tu
Big toys za wanaume wa ngerengere shem
tunafanya safari ili tufike sio vingine bwasheeMhh kweli big toys ndo mnafanyaga low pass kututishia, kwann mnatutishia na kodi zetu? zile ni dk 5 hakuna hata raha ya safari sasa😂😂
Nyani Ngabu sio mtu mzuri my dearAsante my dear!
Barikiwa mno kipenzi changu!..
Nani anakuficha eti dear?!
EwaaaaaNitamtafuta vizuri tuyajenge na kaka wenu
Sasa kwa nini lakini vileNajua na unajua nakupenda mama Naah..
Thank you dearWow!, hiyo cakee, happy belated birthday dear Sakayo, uishi miaka mingi mpaka ushangae
Hahaha hahahamanenoo hayo, unakuja na usafiri gani nijue nakupokeaje kiroho safi tu
Ndo manini hayo etiMhh kweli big toys ndo mnafanyaga low pass kututishia, kwann mnatutishia na kodi zetu? zile ni dk 5 hakuna hata raha ya safari sasa
Eeeehhh
Nawewe ni June?Hakika