Happy birthday Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Happy birthday Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Mr .President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete On your birthday, I like to take some time and think about all the wonderful times we have had together. I’m thankful for our special adventures and all the things that we have done as friends and I look forward to making many more memories with you.A friend like you is more priceless than diamonds. You are strong and wise, kind and thoughtful. I am using your birthday as an excuse to show you much I care and how grateful I am to have you in my life.

Haiwezekani kazaliwa tarehe moja na Vladamir Putin!!! No way aisee! Lazima huyu jamaa kachakachua birth date yake LAZIMA!!!!
Ah! Nimecheki vizuri kumbe Putin ni kesho! Ila bado haiwezekani nyota zao zikafanana, my assertion still stands!

Putin kapewa zawadi ya michoro ikim depict yeye kama Hercules, the greek god, leo.
BBC News - Putin portrayed as Hercules in art exhibition
Mimi kikwete ningempa kitabu cha
"RETIREMENT FOR DUMMIES"
HBD raisi, you are a good chap but an impotent leader!

9k=
 
Hdb mh rais tunakutakia maisha marefu,lkn pia naomba nikukumbushe watanzania wanahitaji kufahamu yale majangili 40 hatari kabisa duniani na baba lao yupo arusha
 
Kazi yake ni :hail: kwa walowezi na wakoloni mamboleo juu ya rasilimali zetu na anajisikia :A S 109: kwa watanzania. Baada ya october 2015, atatuambia :israel:na 😛lane: kwenda kula zake alichochota huku sisi watanzania tukiendelea kuasisi :help: kuendelea na ukata wa maisha.
Zeeka mapema upishe huenda tutapata baba mwingine atakayetujali.
 
Kwa shingo upande namtakia maisha mema na marefu.........................lakini nina kinyongo moyoni hakunitendea haki tangu aingie madarakani nilikuwa na mategemeo makubwa kwake japo nilifanya mawasiliano kadhaa bila mafanikio japo mara moja alinipigia simu lakini haikuzaa matunda.............Namsubiri muda wake uishe nitaenda pale Migombani nikamtolee nyongo yangu.............Eti jamani unashindwa kusaidia watu wanaokulilia shida kwa tone la machozi aaah................Unataka wote tuje Ikulu tujazane pale kuleta shida zetu..............? Nakusubiri umalinze muda wako nitakuja tu.................Mungu atuweke salama.............
 
Nikimaliza shughuli za kupokea katiba iliyopendekezwa Dodoma nitakutafuta,safari za Marekani zilikuwa nyingi sana nikakusahau.Pole mpiga kura wangu.
 
Nikimaliza shughuli za kupokea katiba iliyopendekezwa Dodoma nitakutafuta,safari za Marekani zilikuwa nyingi sana nikakusahau.Pole mpiga kura wangu.
Mkuu nina majonzi siyo unifanyie masihara...................najua hii ndiyo njia pekee iliyobaki kwani wapambe wake watamsomea ..............sasa wewe unaleta utani.........................!!!!
 
"Siku moja akatokea kiongozi wa Taifa letu, akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani, mwambieni wewe ni mpumbavu" Mwalimu J.K. Nyerere.

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa, anajidanganya, Narudiia tena, Katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada, anajidanganya" Benjamin Mkapa.

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu, unachotakiwa ni kujieleza, wakikuelewa, watakupa" Jakaya Kikwete.
 
Leo ni siku ya kuzaliwa ndugu Jakaya
Pamoja na changamoto na mafanikio kutokana na aliyo yafanya nadhani na wakati muhimu kwa wanajamii forum kumtakia maisha mema na marefu.

Ni wakati pia wa kumkumbusha kwa yale ambayo hajayakamilisha basi m/mungu ampe wepesi wa kuyakamilisha

Karibuni..

waambie vijana wa lumumba wenye sifa ya kujipendekeza wampongeze labda anaweza kuwapa ukuu wa wilaya dakika za mwisho mwisho hiza kabla haja ondoka madarakani.
 
"Siku moja akatokea kiongozi wa Taifa letu, akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani, mwambieni wewe ni mpumbavu" Mwalimu J.K. Nyerere.

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa, anajidanganya, Narudiia tena, Katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada, anajidanganya" Benjamin Mkapa.

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu, unachotakiwa ni kujieleza, wakikuelewa, watakupa" Jakaya Kikwete.

hapa ndio utaona utofauti mkubwa wa kiakili kati ya Jk orijino,BWM na Jk feki.
 
Back
Top Bottom