notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 453
join him in one of his trips..... nadhani utarudi na mim..bahakuna alichofanya zaid ya kukopa tu na kupepea hewan kila kukicha
join him in one of his trips..... nadhani utarudi na mim..bahakuna alichofanya zaid ya kukopa tu na kupepea hewan kila kukicha
join him in one of his trips..... nadhani utarudi na mim..ba
Ule ni mkopo wa billioni 99 tutalipa watanzania wote licha ya barabara kujengwa chini ya kiwango kama kawaida yao
Na ikitokea hawakupi nafasi ya kujieleza inakuwaje.......?!"Siku moja akatokea kiongozi wa Taifa letu, akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani, mwambieni wewe ni mpumbavu" Mwalimu J.K. Nyerere.
"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa, anajidanganya, Narudiia tena, Katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada, anajidanganya" Benjamin Mkapa.
"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu, unachotakiwa ni kujieleza, wakikuelewa, watakupa" Jakaya Kikwete.