GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Happy birthday my president. You are as visionary as the late Steve Jobs much as Magwanda do not appreciate your brilliance.
Wamekutana Wambea na Waongo, Kifaurongo!
Wakati leo tarehe 7 oktoba 2011 ukifikisha miaka 61 tangia kuzaliwa kwako. Na kwa kuwa wewe ni Kiongozi wa nchi yetu adhimu ya Tanzania. Nchi yenye amani, upendo na mshikamano kwa wananchi wake.
Tunakutakia fanaka na furaha tele kwenye siku yako ya kuzaliwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete . Wewe ni Rais wa watanzania wote bila kujali itikadi zao mbali mbali.
Tunakutakia afya njema , hekima na busara katika kuiongoza nchi yetu. Ili Tanzania pawe mahali bora pa kuishi.Happy birthday JK Mungu akubariki sana ! amen.
Kwa kweli, magwanda wana shida vichwani mwao !
Unalipwa na magamba mpaka uanzishe thread hii?nenda bac ikulu ucheke naeWakati leo tarehe 7 oktoba 2011 ukifikisha miaka 61 tangia kuzaliwa kwako. Na kwa kuwa wewe ni Kiongozi wa nchi yetu adhimu ya Tanzania. Nchi yenye amani, upendo na mshikamano kwa wananchi wake.
Tunakutakia fanaka na furaha tele kwenye siku yako ya kuzaliwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete . Wewe ni Rais wa watanzania wote bila kujali itikadi zao mbali mbali.
Tunakutakia afya njema , hekima na busara katika kuiongoza nchi yetu. Ili Tanzania pawe mahali bora pa kuishi.Happy birthday JK Mungu akubariki sana ! amen.
Kwa lipi unamlinganisha na Steve Jobs?Rais asiyefahamu kwa nin Tanzania ni maskini?si bure ndo wale wale...Happy birthday my president. You are as visionary as the late Steve Jobs much as Magwanda do not appreciate your brilliance.
Wakati leo tarehe 7 oktoba 2011 ukifikisha miaka 61 tangia kuzaliwa kwako. Na kwa kuwa wewe ni Kiongozi wa nchi yetu adhimu ya Tanzania. Nchi yenye amani, upendo na mshikamano kwa wananchi wake.
Tunakutakia fanaka na furaha tele kwenye siku yako ya kuzaliwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete . Wewe ni Rais wa watanzania wote bila kujali itikadi zao mbali mbali.
Tunakutakia afya njema , hekima na busara katika kuiongoza nchi yetu. Ili Tanzania pawe mahali bora pa kuishi.Happy birthday JK Mungu akubariki sana ! amen.
Huna Rais mwingine ni yeye tu, na hao unaofikiri watakuwa hawawezi kuwa. So, far Rais ni mmoja tu wengine wote feki
Sawa ni birthday yake. Umeweka hapa ili tufanyaje?Wakati leo tarehe 7 oktoba 2011 ukifikisha miaka 61 tangia kuzaliwa kwako. Na kwa kuwa wewe ni Kiongozi wa nchi yetu adhimu ya Tanzania. Nchi yenye amani, upendo na mshikamano kwa wananchi wake.