GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Wakati leo tarehe 7 oktoba 2011 ukifikisha miaka 61 tangia kuzaliwa kwako. Na kwa kuwa wewe ni Kiongozi wa nchi yetu adhimu ya Tanzania. Nchi yenye amani, upendo na mshikamano kwa wananchi wake.
Tunakutakia fanaka na furaha tele kwenye siku yako ya kuzaliwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete . Wewe ni Rais wa watanzania wote bila kujali itikadi zao mbali mbali.
Tunakutakia afya njema , hekima na busara katika kuiongoza nchi yetu. Ili Tanzania pawe mahali bora pa kuishi.Happy birthday JK Mungu akubariki sana ! amen.