Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 613
- 962
Nukuu zake zitafaa sana,zikiwekwa hapa.Asanteni.
acknowledgement of President Putin’s birthday, who was born on 7 October 1952 and turned 70 today,
Leo 07.10.2022 Mzee Jakaya Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne Nchini Tanzania anatimiza miaka 72!
Je, unakumbuka yapi toka kwenye uongozi wake? Tumtakie maisha mema na yenye baraka tele!