Happy birthday my dear JUDGEMENT

happy birthday judgement!
ila umenioneamo wapi Mr Rocky .namtafuta sana i see!patia yeye salamu kuwa amemisika!

snowhite nipo dear. Nimekumissije aise. Naamini uko salama kabisa.
Nakusalimia na asante kwa kunikumbuka na kunikurupua mafichoni aise
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky !
P l e a s e
this site nasubiri fafanuo.

Judgment we acha tuu mambo mengine sio ya kusema eti huwa tunasema funika kombe mwanaharamu apite
Sasa hapo mkuu funika kombe aise usije ukalifunua mapema kabla ya kumshika njiwa aliyenasa humo
snowhite nyamaza hivyo hivyo wala usiseme mimi na wewe kama uji na mgonjwa
 
Last edited by a moderator:

Nilishafunika kabla!
 
Last edited by a moderator:
measkron niseme ahsante! Nisukumie salamu watu8.

Dah! kaka kweli miaka inakimbia, najaribu kukumbuka ni juzi juzi tu hapo tulikua tunakutakia heri ya kuzaliwa kumbe ni mwaka jana atii....
Heri ya kuzaliwa mkuu, Mungu akujalie afya njema.
 
Last edited by a moderator:
Dah! kaka kweli miaka inakimbia, najaribu kukumbuka ni juzi juzi tu hapo tulikua tunakutakia heri ya kuzaliwa kumbe ni mwaka jana atii....
Heri ya kuzaliwa mkuu, Mungu akujalie afya njema.

Kiongozi watu8 aksante kwa kuniona!
Nashanga! nilikua namuona tu yule nduguyo mnaechangia shuka! We sikuoni, nway nisalimie measkron.
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi watu8 aksante kwa kuniona!
Nashanga! nilikua namuona tu yule nduguyo mnaechangia shuka! We sikuoni, nway nisalimie measkron.

Salamu zimefika mkuu, ila anauliza keki inaliwa maeneo yapi leo?
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Judgement .Uishi maisha marefu yenye furaha, amani na Upendo...
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Judgement Mungu akupe maisha marefu uone wingi wa vitukuu vyako na akupe afya njema best
pokea kazawaidi haka kadogo best
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday dearest. Ubarikiwe hadi ujishangae. Sala zako zijibiwe zile zitakazokuacha na akili timamu.
Mimi penda sana wewe rafiki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…