Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
My hubby napenda kuchukua fursa hii kukutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa. Wapendwa wana Chithat tusherehekee kwa pamoja na mpendwa wetu Judgement.
View attachment 89251
My love Judgement pokea na keki hii...........
View attachment 89253
CC: Arushaone Madame B sosoliso Passion Lady Erickb52 Arabela KOKUTONA
mbaya hakuna, mpwa wako Husninyo anahitaji ada nk majukumu mengi kijana...hahahaha. Keki imeisha maana tuna ujio mpya wa charminglady
Oooh!
Sorry! Sherehe zilikua juzi.
Nway pole na majukumu.
Hebu ongea na charminglady kama labda aliondoka na kipande cha keki akawekamo kwen friji