Huna habari?
:lalala:?ngoja aje Mr Rocky mwenyewe akwambie!mi naona aibu bana!:tape2:
nipo ndugu yangu ,majukumu tu mengi !
au na mi nakuwa chui mzee? kama Mtambuziiiiiiiiii:A S 39:
Mkuu Judgment happy birthday kaka mkubwa. Nakutakia kila la heri katika maisha yako yakawe ya heri na baraka na ukafanikiwe katika kila utakalofanya. Uwe na maisha marefu na yenye furaha. Once again Happy Birthday Brother Judgment.
Thanks broda 52 ndiyo hivyo tunaendelea kubugia solti !
Nimshukuru YNNAH kwa handlin yake kwangu!
Samotimes hutoka ofisini kwake akaja kwangu maalumu kunipa denda tu la dkk 5 then anarudi ofisini kwake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.