Happy birthday my dear JUDGEMENT

Happy birthday my dear JUDGEMENT

YNNAH

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,706
Reaction score
974
My hubby napenda kuchukua fursa hii kukutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa. Wapendwa wana Chithat tusherehekee kwa pamoja na mpendwa wetu Judgement.

flo..jpg

My love Judgement pokea na keki hii...........

love.jpg

CC: Arushaone Madame B sosoliso Passion Lady Erickb52 Arabela KOKUTONA
 
Happy Birthday Judgement! MUNGU aliyekuleta duniani akakutunza na kukulinda miaka yote, namuomba akupe maisha marefu yenye mafanikio na akuepushe na maradhi na maadui.

Once again Happy Birthday my best friend.
 
Last edited by a moderator:
Bro Judgement natumai safari ili kuwa ndefu, japo leo sio kwamba ndiyo mwisho wako wa safari, safari bado ni ni ndefu tu na inaweza kuwa na mabonde mengi zaidi ya kule ulipotoka, all in all happy birthday my ndugu
 
Kiongozi Slave niutambue uwepo wako adhimu hapa.
Aidha niseme thanks due your wishin.
 
Last edited by a moderator:
YNNAH sherehe wapi? Au ndo hapo umemaliza.
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi Slave niutambue uwepo wako adhimu hapa.
Aidha niseme thanks due your wishin.

asante mkubwa Judgement najua leo ni mwaka mpya na mambo mapya kwako,tumia fursa hii pia kututangazia ID's zako zingine no Sorry!! kututangazia my waifu wako wengine wale invisible.
 
Last edited by a moderator:
asante mkubwa Judgement najua leo ni mwaka mpya na mambo mapya kwako,tumia fursa hii pia kututangazia ID's zako zingine no Sorry!! kututangazia my waifu wako wengine wale invisible.

Slave amini usiamini!
Yaani ya YNNAH inanitosheleza! Afu siishibagi ! Nihaingikie nini kudusa? Ilhali hom tunasaza?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom