Happy birthday my dear JUDGEMENT

Happy birthday my dear JUDGEMENT

Z
Z


Mdogo wangu YNNAH, Naomba nimtakie
2Q==
My
images
images
.

Kama Kawa kama Dawa, Akikunyanyasa, leta taarifa kwangu fasta.

BTW Happy Birthday Shem Judgement.
Ahsante Madame B dada yangu, toa hofu akininyanyasa tu nakwambia japo sidhani kama itatokea hivyo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mnuso upo, venue ni Gombe ireland .

Hahahah hiyo lokesheni ni kama siipati vile...ngoja nifunue World Atlas halafu niangalie hilo eneo linaangukia latitudo na longitudo ngapi...
 
Mtani bado nafanyia kazi ushauri wako...naendelea kupotezea.

una hila hashuo kama mwali wa kimakonde kujitia kunema mabegani kwa wenzie!
unamchokoa mwenyewe akikupa za ugoko unapiga kelele!
unaweza utani fanya,huwezi acha!
cc watu8
 
Last edited by a moderator:
We we we......
Unasemaje???????
Sasa mwambie Judgement ajaribu kumgusa mdogo wangu YNNAH, tuone kama hata Panya atabaki ndani ya Nyumba yao.
Hatujamfukuza kwetu.........chumba chake bado kipo.
Kwanza mdogo wangu mwenyewe namshangaa.....sijui kazuzuka na nini.
Kama Kitanda home alikuwa nacho,
Godoro alikuwa nalo,
Chakula alikuwa anakula,
Gari alikuwa anaendesha,
Nguo alikuwa anavaa,.............. Sijui,sijui kazuzuka na nini.
Ahhhhhhhh!!!!!!!
Bishanga, usinipandishe hasira wewe.

Dada yangu nimeponzeka na MNARA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom