kwa kupenda function hata birthday nayo unakomalia keki heee! yatakushinda
My hubby napenda kuchukua fursa hii kukutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa. Wapendwa wana Chithat tusherehekee kwa pamoja na mpendwa wetu Judgement.
View attachment 89251
My love Judgement pokea na keki hii...........
View attachment 89253
CC: Arushaone Madame B sosoliso Passion Lady Erickb52 Arabela KOKUTONA
Madame B CHAI CHUNGU anakusalimia..........anasema anaomba bcb na anasema ukikataa anafakamia thiodanAcha umbea wewe Banana Man, wewe mbona hatukuulizi taarifa zako.
Nyie ndio wanga wenyewe.
Na ole wako mdogo wangu YNNAH aachike, utan'tambua.
una hila hashuo kama mwali wa kimakonde kujitia kunema mabegani kwa wenzie!
unamchokoa mwenyewe akikupa za ugoko unapiga kelele!
unaweza utani fanya,huwezi acha!
cc watu8
huyu ni mtu wangu wa karibu hivyo ananijua fika na isitoshe mm ni shemeji yake sasa wewe yatakushinda
nakutahadharisha tu since nakuonea huruma anavokunyambua ukiingia kwenye anga zake!
ikiwa kwako ni sawa ,endelea kujipa upana wa gaguo la kisomali!
Madame B CHAI CHUNGU anakusalimia..........anasema anaomba bcb na anasema ukikataa anafakamia thiodan
btw Judgement unamwamini sana? mi naona ka anamchezea YNNAH tu au?
Salamu zimefika mkuu, ila anauliza keki inaliwa maeneo yapi leo?