Mbona makasiriko au hauna wa kukupa kumbatoInashawishi nini? 😏😏 Kwanza huku hainyeshi wiikreend
Mtoto huna nidham Wala adabu wewe, kumbato la January ni kumbatokarahaMbona makasiriko au hauna wa kukupa kumbato
Nia mnayo, Nguvu mnazo na sababu mnazo.Kiaje bwashee 😅
Hivi yule wifi yangu mbona simuoni siku hiziNia mnayo, Nguvu mnazo na sababu mnazo.
Wifi yako yupi?Hivi yule wifi yangu mbona simuoni siku hizi
Na huyo mhuni ndiye weweWifi yako yupi?
Ukiona kimya sio kwamba hayupo sema inawezekana kuna muhuni kaingilia kati kamvuta PM na anamscan jukwaan mpaka dada wa watu anashindwa kua free.
Never! Never! Nefa Manka.Na huyo mhuni ndiye wewe
Asante sana🙏Happy birthday min
Shkuran sana master
Amen and amen!
Hahaha kiasi Fulani nilifurahi.
Inapendeza sana rafikiHahaha kiasi Fulani nilifurahi.