Mimi ukiniacha ni dakika zero tu nakufuta bebe 😁Hazikosekani mkuu😂🤌🏾
Ukiachwa vipi huteseki ata lisaa?
Sante sana ephenHappy birthday min ake..!
Ewaaaaah!! Tunaenda kupiga tukio shwaaaaah na kurudi … hatulali ugenini.Ndio maana nakupenda kachero mwenzangu kitengo Cha CIA halafu Wala haturingi 🤗
Hapa watu wanakula pombe kwa pesa yangu 🤣🤣 nanimetoa amri hakuna kutoka bila kuniaga😅😅😅Fanya usambaze upendo tu bwashee, sirikali ukiiwaza pombe zitakata bebii😁
Dr mapaka juzi kapata ujasiri wakusema eti sina hoja , hii takataka sijui inanichukuliaje yani🤔Ewaaaaah!! Tunaenda kupiga tukio shwaaaaah na kurudi … hatulali ugenini.
Kwangu kawaida tu mama la mama hasa nikiwa TzTayareee🤣🤣🤣🤣
Sante zai nakupendaHappy birthday min
Asante sana bossHbd🎉💯
Huyo kwa hatua aliyofikia ilitakiwa awe mirembe mida hii. Sema ni vile hana watu wa kumfunga kamba wampeleke. Ikishindikana kabisa tutampeleka sisi kama vipi😂😂😂Dr mapaka juzi kapata ujasiri wakusema eti sina hoja , hii takataka sijui inanichukuliaje yani🤔
Hannah hii takataka nataka tuanze kuilipua rasmi sasaHuyo kwa hatua aliyofikia ilitakiwa awe mirembe mida hii. Sema ni vile hana watu wa kumfunga kamba wampeleke. Ikishindikana kabisa tutampeleka sisi kama vipi😂😂😂
Sawa tajiri😂Watu wangu wa ukweli sana ephen_ Vincenzo Jr Fake P maraki wa ukwel wa mda wote na siwezi kufa kabla ya kuwafanyia jambo🤔