Happy birthday Minnie💛

Happy birthday Minnie💛

Leo Moshi nimekutana na Discovery 2026 hii imekaaje Mad Max ?
Wachaga wameachana na Rav 4 eee
IMG_5898.jpeg
 
Kili hainatofauti na soft drink

😎😎😎😎

Kili lager?.
Anyway tunakunywa kwa starehe .
Unapiga Kili zako 6 - 8. Unaenjoy kuangalia mpira au kuwa na wana. Baadae saa 4 hiv usiku unaenda home kula na kulala vizur kabisa.

Na unaamka saa 12 asubuh bila hangover na mishe zinaendelea kama kawa.

Ijumaa kama leo ndio unajiloweka. 😎😎😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom