min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,263
- 127,193
Haika meku ,nyoo wari ma kitutu🤣Heri ye oneka meku...
Haika meku ,nyoo wari ma kitutu🤣Heri ye oneka meku...
binadamu wa kwanza kugundua pombe alistahili kupewa noble prize 😁Pombe haijengi nyumba, lakini hujenga urafiki wa muda mrefu tulianza na glasi, leo tunajuana kama ndugu!🍻😎
Mama la mama ndio maana nakupenda ujue 🤔Lewa tu baba we drink to die😆
Changanya kama ile siku mpaka wakikutia tu kiberiti unawaka 🥵
Asante sana kipenziHappy birthday kijana min
tutamuenzi many yearsMwenye akili aligundua pombe, wenye stress tukarithi matumizi.. Apewe tuzo😁
Naanzaje kukataa ma mtu , kupendwa na mtoto mzuri kama wewe raha ujue🤗Nakupenda bamtu 💥
Gusa safari Gusa furahaAliyegundua pombe alituletea tiba ya kimya kimya yaani sip moja tu matatizo hayapo tena!!🍻
Haya uzi unuke pombe🔥
Sasa mfano Mimi, Nina stress za nini mfano?Mwenye akili aligundua pombe, wenye stress tukarithi matumizi.. Apewe tuzo😁
Oyaaah😂😂😂
🍻🍻🍻🍻
Asee hivi kwanini hamna pesa lakini bebe 😁 kwa sirikali ya kiduanzi Kama hiyo unakosaje pesa mama la mama😂😂Changanya kabisa bebi mpaka uchanganyikiwe😆😆😆
We kata kreti tutakuokota usijali🙆🏽♀️
Huyo mbuzi wengine tunampataje sasa meku😅