ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,264
- 40,900
Maxence MeloHappy birthday kwake... Afanye kuirudisha dark blue theme sasa.
Huyu jamaa kapita mshale mingi Sana.Happy Birthday Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica ππ₯³
Kwa niaba ya wana jamvii
Tuna kutakia afya njema, furaha, mafanikio na maisha yenye baraka tele
Thank you for your great contribution and for keeping the JF community active and connected every day
Mungu akuongezee hekima, strength na success zaidi kwenye kazi na maisha yako binafsi
Enjoy your special day mkuu πβ¨
Na mwisho kabisa endelea kuficha funguo za JF vizuri π
Mboga mboga wasije kufanya unyakuo kwa baadhi ya watu humu jukwaani π
View attachment 3585916
Sana aisee anastahili pongeziHuyu jamaa kapita mshale mingi Sana.
NdioHuyu jamaa kapita mshale mingi Sana.
Usinilasimishe kupiga makofi.Sana aisee anastahili pongezi
Makofi kwakeπ
Mkuu ngumi juu kama hivi βοΈUsinilasimishe kupiga makofi.
Niambie nionyeshe ngumi juuβ
Happy birthday Mr MeloHappy Birthday Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica ππ₯³