masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
hahaha itakuwa mmedondokeana lol
haaaaah hamna tuko wima wote
hahaha itakuwa mmedondokeana lol
haaaaah hamna tuko wima wote
Ila asithubutu kwenye frech lang.
hivi si unamjua vizuri atakua anajua hiyo lugha
hahahahhhhh plate number inanzia na A
Keimamae....!!!!!!
hivi si unamjua vizuri atakua anajua hiyo lugha
Hamna huko hafiki yeyoo!
miaka hamsini na ngapi vile hebu nikumbushe!
Hamna huko hafiki yeyoo!
mchokoze uone
mchokoze uone
Uchokozi tena?
yaani ukiendeleza uchokozi nakutajia hadi kinywaji unachokunywaga ukiwa na dozi
Happy birthday masai dada
Maziwa na asali. Sina sababu ya kuficha.
sweet wangu masai dada happy birthday to you may God bless u ..
Uchokozi tena?
si atakuchapa kwa ngeli
thanx it woz yesdei honey
i see am laite but lazima salamu zifike tu hata kwa ngumi