Happy birthday masai dada

Happy birthday masai dada

hahahah hunipati ng'o. mi mnywa pepsi kesto itapita wapi?

last time nakuona pentagon
ulikunywa supu ya samaki
maji ya kilimanjaro makubwa
kwa kuwa usiku yake ulimimina sana kiroro
ulivaa jeans ya blue na t,shirt nyeupe

UKIENDELEA NAKUPM PLATE NO
 
last time nakuona pentagon
ulikunywa supu ya samaki
maji ya kilimanjaro makubwa
kwa kuwa usiku yake ulimimina sana kiroro
ulivaa jeans ya blue na t,shirt nyeupe

UKIENDELEA NAKUPM PLATE NO

Khaaaa! İshia hapohapo.

Mi padre navaa kanzu. Mwone kwanza.
 
Hongera my sister mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio
 
Back
Top Bottom