masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Happy birth day masai dada
asante rafikinyangu SAYANSIKIMU
Last edited by a moderator:
Happy birth day masai dada
naiomba leo bwana mafua haya yapone
Happy birthday ndito
hahahahahahaah loooh
nina house keeper(joke)
Haya masai dada, wacha na mimi nikutakie happy birthday usije sema nna kinyongo mie!........Happy birthday masai dada!!
hapz birthday ma dia long live
live long dadaa happy bdei..
asante mkuu
uwe na wakati murua
naingia faragha kidogo
Kunani tena huko faragha?
Kiranga kaniita nasikia huko kuna dawa za mafua
Masai na ugoro ni kama msukuma na baskeli, kama unaienda kwa kiranga andaa oxford kabisa.
asante no faraghani na kiranga ananipa dawa ya mafua
hahhah mimi ni danxe partiner wake hana neno kwangu
Mimi naisubiri hiyo dawa ili na mimi nikiumwa tu, niitumie.
asante mamii
hata keki siwezi kula sababu ya flue yaani nilipanga nikalale kigamboni huko ama mbali kabisa huko
SEMA MVUA MUDA WOTE YAWEZA NYESHA MADARAJA YAKAKATIKA NIKASHINDWA KURUDI
naogopa rungu la bosi
Umefikisha miaka kumi na ngapi?