The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
hapo juu nilimaanisha dance partiner na sio danxe
hiyo dawa bado sijapewa
Haya nimekuelewa, hivi hiyo "danxe" kiranga alikwambia ina maana gani vile?
hapo juu nilimaanisha dance partiner na sio danxe
hiyo dawa bado sijapewa
10 na 10 na mihongo kadhaa
bibi amerudi nini sikuoni kijiweni
Achana na mambo ya bibi. we ndo mchepuko wangu. nimekuchagua wewe.
Haya nimekuelewa, hivi hiyo "danxe" kiranga alikwambia ina maana gani vile?
looh miss neddy analijua hili???
Ameniruhusu nichepuke na wewe responsibly. İli kukulinda na kumlinda ntavaa kondom mbili na nyingine mbili ntazimeza kwa ajili ya kinga madhubuti.
Ameniruhusu nichepuke na wewe responsibly. İli kukulinda na kumlinda ntavaa kondom mbili na nyingine mbili ntazimeza kwa ajili ya kinga madhubuti.
naenda kula kilwa road pub uko wapi
Happy birthday masai japo nimechelewa ...... "Long live mama"
nilikosea uandish si unaelewa mambo ya sikirini tachi
happy birthday my dia Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele,
Haya mama yeyoo! hahhahhahahahh
naenda kula kilwa road pub uko wapi
asante sana mamiii
uko poa?
niko poa kiaina maombi ni muhimu sana mpendwa!
Haya mama yeyoo! hahhahhahahahh
Naona umefurahi sio? basi kwanzia leo wewe ni MAMA YEYOO na sio masai dada, na ntaweka tangazo kabisaa kwaajili ya utambulisho mpya unaoenda sambamba na birthday yako au unasemaje mama yeyoo?
Hahaha besdei gelo unaenda kula ARV kwa hisani ya mbuzi katoliki. Pentagon hapa naona Sikinde wanapasha moto makoromeo
Naona umefurahi sio? basi kwanzia leo wewe ni MAMA YEYOO na sio masai dada, na ntaweka tangazo kabisaa kwaajili ya utambulisho mpya unaoenda sambamba na birthday yako au unasemaje mama yeyoo?
HAHAHH HAPANA MKUU MAMA YEYO NI MWENYE MTOTO MIMI SINA MIMI NI SIANGIKI KWA KISWAHILI MASAI DADA
hivi huwaga wanapiga hapo kila j.pili???
hapo kilwa ijumaa wanapigaga sijua wanaitwa vijana bend lakin niliona kama juz windock walikua hapo japo
jumapili nitakufumania hapo hutaamini